IPO SIKU YAKO KUBARIKIWA - MASANJA ASISITIZA.

Hata wakisemaje, hata wakikutazama kwa jicho la namna gani, hata wakikuambia ukaoge.. Lakini siku ni moja tu ambapo Yesu atakubariki na kukutoa hapo ulipo - akuinue juu. Ipo siku ni wimbo wa Goodluck Gozbert ama kama ajiitavyo, Lollipop Man (bofya hapa kumfahamu). Na kwa wimbo huu ambao maneno yake ni faraja tupu, basi Masanja akiwa nchini Marekani, aliamua kujidai kwa kujikumbushia ahadi hizi za Mungu. -


Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI