KANISA LATAKIWA KUIOMBEA TANZANIA.
Kanisa limetakiwa kuiombea Tanzania hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 25 mwaka huu,hayo yalisemwa na mchungaji Helman wakati akitoa ujumbe wa neno la Mungu katika kanisa la EAGT katundu,kanisa linaloongozwa na mchungaji Robert Ngai.
Mchungaji Robert Ngai akisisitiza jambo wakati wa mahubili katika moja kati ya ibaada kanisani hapo.
Maombezi yakiendelea.
Comments
Post a Comment