ANGALIA PICHA KANISA LA AJABU.


The church originated in USA and spread very fast in EUROPE, ASIA and now its found in some of African countries such as Nigeria, Cameroon, South Africa, the people that pray in this church are very cool and they believe that they are praying to the real GOD and they always have a good habit of help the poor people in whole over the world.
KISWAHILI
Kanisa hili makao yake ni USA na linaenea kwa kasi sana ULAYA ,ASIA, na sasa katika baadhi ya nchi za kiafrika kama Nigeria,Cameroon,Afrika Kusini,watu wanaosali katika kanisa hili ni wapole sana na wanaamini kuwa wanamwomba Mungu wa kweli na siku zote ni watu wenye mwenendo mzuri kwa kusaidia maskini duniani kote.



Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI