UJUMBE MZITO WA MWASUMBI KUHUSU DHAMBI..SIKIA ALICHOSEMA
Dhambi ni Mbaya sana.
Wengi wamekufa sababu ya dhambi, wengine wametekwa
Jiponye upesi ukimbike dhambi, ni huzuni ukifanya dhambi.
Ukifa na dhambi lawana ni kwako, Yesu alikufa ili usamehewe.
Comments
Post a Comment