Mchungaji Dr. Brown Mwakipesile achaguliwa kuwa Askofu mkuu mpya wa kanisa la EAGT.

Aliyekua Katibu mkuu wa kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania,EAGT Mchungaji Brown Mwakipesile na kiongozi wa kanisa EAGT Mlimwa West, amechaguliwa kua Askofu mkuu wa kanisa hilo na kurithi Mikoba ya Uaskofu baada ya aliyekua Askofu mkuu wa kanisa hilo Dr.Moses Kulola ambaye alitwaliwa na Bwana mwaka 2013.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifesoPdeBpjkCUe1vvY_gRvtQi7nBuSh5_oSTh0egrAUuF9127U0tcP_Zlv9GCduJZtfPJwr-iI5CfXYzGKpIcDe3EdTe-d17ZwjOj-5QfM1gsREJlczN6-cxxXS3AcvSCCqrbj-ZGewo/s1600/mwakipesile.jpg2.jpg
Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Brown Mwakipesile
 Katika uchaguzi huo ambao umefanyika kitaifa mkoani Dodoma siku ya tarehe 23September 2015 na kuwapata viongozi wa Kitaifa wa kanisa la EAGT 
Askofu Mkuu mpya  wa kanisa la EAGT Dr. Brown Mwakipesile wa kwanza toka kulia,akiwa na makamu askofu mkuu aliyemaliza muda wake Askofu Mwaisabila 

Nafasi nyingine za waliochaguliwa kuliongoza kanisa hilo kitaifa ni pamoja na mchungaji John Mahene ambaye amechaguliwa kua Makamu Askofu mkuu wa kanisa hilo 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEJj0GB2VnRuyuvO6eBO4TkR1D_N4ZkEXDUReT5mMAwOxSSxhVSJBd9jt-FvRD7UUnWf7_XyQChrGWTWzl4hF_pQsQK-zzlO_eRQqmdBAeBWTF3-ByXahu9vnCX7TylImyL8dpSLt7u9N9/s1600/DSC03522.JPG
Makamu Askofu Mkuu John Mahene wa kwanza toka kushoto
Nafasi ya Katibu mkuu wa kanisa hilo kitaifa imechukuliwa na Mchungaji Lenard Mwizarubi na nafasi ya Mtunza hazina mkuu Ikichukuliwa na Mchungaji Mgonja 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQbmLFfV2PamlUGKc3ZepEZaEgQHcnnm3G-SAS90i9yrgCkibdUaVTyClEjiNdsAjadKBtBqdnAVM4O_p5Hu160PJg0RGoRJKl9k_Qu6KVajVV5muyiu5iMi1qtok_gXffOYrzEraTsrhX/s1600/DSC_0006.JPG
Katibu Mkuu wa EAGT Lenard Mwinzarubi wa kwanza Kushoto

Nafasi ya Mshauri mkuu wa kanisa hilo ikibaki kwa Mzee Mwakisyala
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhSjJF6NotdhIh5KzsZXBs92VuMeoK4ZRP1pKfZNXSL9LQgfyY8r7FIKPDkldJHwU2x1z3HXKLZHmnfJAHszcjOi0e634l21gDaE5zNzOwYOkd6gmzWcm3VNuh1GAVbG0ijXrHwixAHrxE/s1600/KOROGWE+2+010.JPG
Mzee na Mshauri Mkuu wa EAGT Rev, Mwakisyalawa kwanza kutoka Kushoto

Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI