TANZIA:EAGT JIMBO LA GEITA YAPATA MSIBA.
Mchungaji wa kanisa la EAGT Mwembeni jimbo la Geita CARTAS TIMOTH amefariki dunia usiku
wa Tarehe 24/01/2016 katika hospitali ya Rufaa ya Bugando alikokuwa amelazwa kwa matatizo ya kiafya.Akithibitisha kutokea kwa msiba huo katibu wa jimbo la Geita EAGT Mch.Robert Ngai amesema mazishi yatafanyika Geita siku ya Tarehe 27/01/2016.Kwa taarifa zaidi tutaendelea kukuletea.PAUL BAHEBE tunapenda kutoa pole kwa familia ya Mchungaji CARTAS TIMOTH kwa kuondokewa na mpendwa wao Mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu.Mungu alitoa na Mungu ametwaa,jina lake lihimidiwe.

Comments
Post a Comment