TUJIKUMBUSHE NYUMA KIDOGO JAPO BONGE HATUNAE TENA.
Taarifa zilizotolewa na rais wa shirikisho la waimbaji bwana Addo November Mwasongwe kupitia ukurasa wake wa Facebook amesema, marehemu George alianguka akiwa nyumbani kwake maeneo ya Tabata jijini Dar es salaam wakati akijiandaa kuelekea kazini tukio ambalo halikuchukua mda mrefu na mwimbaji huyo kutwaliwa kabla hajafikishwa hospitalini.
Unakumbuka wapi kupitia nyimbo zao kama hizi.?
Comments
Post a Comment