BEATRICE MWAIPAJA KUACHIA ALBUM MPYA MWEZI HUU.


Kupitia page yake ya facebook, Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini mwanadada Beatrice Mwaipaja, ametangaza kwamba tarehe 13 March atakuwa akiachia album yake ya pili "Mungu Umenihurumia". 

Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI