HELKOPTA,MABASI YATUMIKA KATIKA HII VIDEO ALIYO SHIRIKISHWA CHRISTINA SHUSHO.

Waimbaji wa Gospel nchini Kenya mara zote inapofikia swala la utengenezaji wa Video hawaoni hasara katika kuwekeza pesa. Hivi ndivyo ilivyo tokea kwa muimbaji wa Kenya anayefahamika kama(RINGTONE) kutumia pesa yake katika kutengeneza kitu kizuri…..
Video hii aliyo mshirikisha Star wa Gospel kutokea Tanzania Christina Shusho imeleta kelele kwenye mitandao ya kijamii kutokana na uwekezaji wake kuanzia location pamoja na baadhi ya vitu vinavyo onekana katika video hiyo.
Hapa chini nimekusogezea baadhi ya picha wakati wa utengenezaji wa video hiyo na video kamili.   zitazame mdau wangu.
D1
Kulia ni Ringtone na Christina Shusho wakiwa Location.
D3 D4 D5
B2 B3 B4
D6
Unaweza kutazama Video Kamili hapo chini.


Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI