MWANAMKE AMTOA MTOTO WAKE SADAKA KWENYE IBADA YA PASSAKA:
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika ibada ya pasaka mama mmoja amtoasadaka mtoto wake,
Tukio hili limekuwa la kipekee ambalo limeafutia waumini waliohudhuria katika ibada ya pasaka katika kanisa EAGT Sengerema kama unavyomuona kwenye kapu la sadaka,
Ni katika ibada ya Jpili ya PASAKA kanisa la EAGT Sengerema ambapo Mwnjlst George Banali alihudumu, Ujumbe KUTOKEWA NA BWANA YESU, baada ya kufufuka kwake.
kama alivyoandika mwinjilisti GB katika ukurasa wake wa Facebook
Comments
Post a Comment