Vijana wa kanisa la EAGT Jimbo la Temeke wamekuwa na wakati mzuri siku ya Jumanne ya April 26 katika sikukuu ya Muungano ambapo kwa upande wao wameitumia siku hiyo kwa kufanya semina ya siku moja kufundishana neno la Mungu, jinsi gani anatakiwa kuwa kijana mcha Mungu
 |
Sehemu ya vijana |
Vijana wa kanisa la EAGT wanajulikana kama CGM kirefu chake ni Christ Gospel Messengers ( wajumbe wa Kristo wa injili) Vijana hawa wa jimbo la Temeke walikutana katika kanisa la EAGT Banana.
Walipata nafasi ya kufundishwa masomo mbalimbali kutoka kwa Muhubiri na Mwalimu George Banaly (GB) somo la Kijana na Maono. Pia Katibu mkuu wa vijana kitaifa wa kanisa hilo Mchungaji Kornerio akafundisha somo la Uinjilisti na Ushuhuduaji.
 |
Muhubiri na mwalimu GB anasema kuwa yeye ni mzee kichwani kijana mdomoni |
 |
katibu wa vijana EAGT taifa mchungaji Kornerio |
Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio katika
 |
Viongozi wa vijana |
 |
Mtunza fedha wa vijana Jimbo la Temeke |
 |
Katibu ya vijana jimbo la Temeke Bwana Ambakisye Friday (kushoto) akiwa na pacha wake Bwana Ambokile
|
 |
Dada mjasiriamali akiwaeleza vijana jambo |
EMMANUEL MBASHA AKIIMBA
 |
Mkurugenzi wa vijana Jimbo la Temeke |
VIJANA WAKAPATA CHAKULA CHA PAMOJA
SAFARI YA KURUDI MAJUMBANI IKAANZA
Aidha Katibu wa CGM jimbo la Temeke Bwana Ambakisye Friday amesema kwa sasa wanajipanga kwa ajili ya kambi ya vijana wa jimbo hilo, ambayo inatarajia kufanyika kuanzia tarehe 27 Juni hadi 1 July kwenye kanisa la EAGT City Center.
Comments
Post a Comment