HONGERA MTOKAMBALI KWA KUIONGOZA TAG KWA MUHULA MWINGINE.


Askofu Mkuu wa T.A.G Dkt Barnabas Mtokambali
Askofu Dkt Barnabas Mtokambali amechaguliwa kwa kishindo kuwa askofu mkuu tena wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G) katika mkutano mkuu wa kanisa hilo uliofanyika mkoani Dodoma. Askofu Mtokambali alipata jumla ya kura 2250 kati ya kura zote zilizopigwa 2403 huku aliyemfuatia askofu Dkt Lawrence Kametta akipata kura 128. Aidha kwa upande wa makamu wa askofu Magnus Muhiche amechaguliwa kushika wadhifa huo, huku kwa upande wa katibu mkuu ikikamatwa na Rony Swai


Askofu Mtokambali mkutanoni Dodoma
Maaskofu na Wachungaji wa TAG wakimpongeza Askofu Mtokambali baada ya kutangazwa mshindi
Viongozi waliochaguliwa wa kanisa la TAG
Hali ilivyo mjini Dodoma kwenye mkutano wa T.A.G

Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI