NEW SONG:MUNGU UMENIHURUMIA BY BEATRICE MWAIPAJA.

Kutoka Tanzania mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Beatrice Mwaipaja ambaye aliweza kusikika vyema katika albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la KUMBE NI KWA NEEMA,leo kupitia CALVARY  MEDIA tunaitambulisha kwako kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la MUNGU UMENIHURUMIA kutoka kwenye albamu yake ya pili ambayo bado haijaachiliwa rasmi ikiwa imebeba jina la TUTAFIKA SALAMA mwenyewe amesema kuwa albamu hii itafanyika kuwa baraka kwani imesheheni nyimbo zinazogusa. Kwa mialiko na mawasiliano wasiliana na Beatrice Mwaipaja  kupitia namba +255654345737 au kupitia mitandao ya kijamii Facebook :Beatrice Mwaipaja 

https://my.notjustok.com/track/download/id/109089

Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI