NEW SONG:FURAHA by ELY KANOGOLEKE.

Mwimbaji wa nyimbo za injili Ely Kanogoleke anayefanya vizuri katika muziki wa injili kutokea mkoani Geita kupitia CALVARY MEDIA amekusogezea hii inayokwenda kwa jina la FURAHA moja kati ya nyimbo zilizo kwenye albamu yake inayokwenda kwa jina la MWENYE NGUVU MUITE PAWA. Kwa mawasiliano au mialiko mbalimbali unaweza kuwasiliana nae kupitia simu namba +255 766 26 45 81

Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI