PICHA MBALIMBALI ZA UZINDUZI WA AIC(T) VIJANA KWAYA GEITA MJINI ULIOFANYIKA JANA JUMAPILI OCTOBER 30.

Kwaya ya AIC chang'ombe kutoka Dar es salaam wakihudumu kwa njia ya uwimbaji kwenye uzinduzi huo.



Mshareheshaji wa shughuli ya uzinduzi wa kwaya ya vijana Geita,Emmanuel Mgaya(Masanja makandamizaji)akiburudika wakati kwaya ya CVC ilipokuwa ikimba.


Fundi mitambo wa kwaya ya CVC Peter Ndoa akiweka mitambo sawa.


MC,Jonathani Masele akiendelea na shughuli ya kusherehesha kwenye uzinduzi wa Geita Vijana album ya tatu ambayo inaitwa SIKIA

Wanakwaya wa AIC Geita vijana wakiingia kwenye jukwaa kwaajili ya kutambulisha album yao.





Mgeni Rasimi katika shughuli ya uzinduzi huo mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akikabidhiwa shughuli ambayo ilikuwa ikizinduliwa siku ya leo.











Mgeni Rasimi Mkuu wa wilaya ya Geita akicheza na kuimba na mwimbishaji wa kwaya ya Geita vijana.






Diwani wa kata ya Buseresere wilaya ya Chato ,Godfrey Miti akitoa neno wakati alipokuwa akitoa mchango kwaajili ya kusapoti kazi hiyo ambayo imezinduliwa.



Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI