WANASAYANSI WAKUTA AMRI KUMI ZA MUNGU KATIKA SAYARI YA MIRIHI (MARS)

WANASAYANSI WAKUTA MAANDISHI YA AMRI ZA MUNGU KATIKA SAYANSI YA MARS
Wanasayansi wa anga za juu wa kampuni ya NASA ya Marekani wameshangazwa nakukuta maandiko ya amri kumi za Mungu na andiko la Yohana 3:16.(yohana 3:16 BIBLIA inasema ''kwa maana jinsi MUNGU aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.) 

Wanasayansi hao waliingia kwenye pango moja kujalibu kutafuta maji na  kukuta maandiko hayo kwenye pango katika sayari ya Mars yakiwa yameandikwa kwenye mawe.


Maandishi hayo yaliyoandikwa kawa  lugha 7 tofauti nazo ni EnglishSpanish, Chinese, Basque Hebrew na lugha yingine hazikutambulika.

Wanasayansi hao wameshangwazwa na jambo hilo na kuwafanya wao waamini kuwa ni dini ya kikristo tu ndiyo ndini ya kweli kutoka kwa Mungu.
 

Kati ya wanasayansi hao ambaye yeye ni muaustralia na anafanya kazi NASA ambao wako huko tangu Agosti mwaka jana, wameshangaa maandiko hayo yamefikaje huko zaidi ya kuona kuwa kweli MUNGU yupo,

Wanasayansi hao wako huko kuchunguza sayari hiyo ili kuona kama kuna uwezekano wa binadamu kuishi huko jambo mpaka sasa inasemakana kuna uwezekano wa viumbe hai kuishi kuko kutokana na vitu vingi kushabihiana na huku Duniani.


Source: DailyCurrent.com

Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI