PICHA 4 ZA HELICOPTER YA ASKOFU GWAJIMA WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.


Mbali na nyumba nzuri ya Ghorofa, magari ya kifahari kama vile HummerRange LoverNissani MuranoLand Rover 4 na Land Cruiser V8 anazozi-miliki mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima.  Pia Askofu Gwajima anamiliki Helikopta, Hizi ni baadhi ya picha (4) za helikopta hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI