Askofu Gwajima ajibu, baada ya Makonda kumtaja kwenye list ya wahusika wa madawa ya kulevya. (+Video)
- Get link
- X
- Other Apps
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw. Paul Makonda kutaja kwa kutangaza katika vyombo vya habari majina 65 ya watu wanaohusika na madawa ya kulevya hapa Tanzania, akiwemo Manji ambaye ni mwenyekiti wa club ya yangu, Mh. Mbowe, Askofu Gwajima na wengine pia. (Siku ya Jana)
Na kuwataka watu wote 65 waliotajwa, kuhakikisha wanaripoti kwenye Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Sentro) siku ya Ijumaa saa 5 asubuhi kwa mahojiano zaidi.
Leo mchana Askofu wa kanisa la Ufufuo na uzima Mh. Dkt. Gwajima alikutana na waandishi wa habari na kujibu tuhuma hizo za kuhusishwa na kutajwa kwa kutangazwa kwenye vyombo vya habari kwamba ni muhusika wa madawa ya kulevya na anatakiwa kuripoti sentro polisi Ijumaa saa 5 asubuhi.
Bofya Play kutazama majibu ya Askofu Gwajima kwa makonda.

Comments
Post a Comment