Tazama video mpya: Kitu gani - Christina Shusho (Remix)
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Hello! Kwa niaba ya team nzima ya Calvary Media, Tunayo-furaha kukusogezea video mpya kabisa toka kwa mkali wa muziki wa injili nchini, Mwanadada Christina Shusho, wimbo unaitwa Kitu gani ni remix ya wimbo wake mwenyewe aliouachia miaka kadhaa iliopita.
Kanisa ni mahali ambapo Wakristo wanakutan a kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Mungu .Mara nyingi mfumo wa ujenzi unatofautiana kati ya kanisa na kanisa na kati ya d hehebu na dhehebu. Hapa nakuletea jumla ya makanisa 10 makubwa duniani kutoka kwenye madhehebu mbalimbali uya Kikristo 10. Sanctuary of Our Lady of Liche?, Poland The Sanctuary of Our Lady ni kanisa kubwa kuliko yote nchini Polandna la 7 kwa ukubwa barani Ulaya .Kanisa hili lilianza kujengwa mwaka 1994 mpaka 2004. 9. Basilica of Our Lady of Peace, Ivory Coast Kanisa la Basilica of our Lady of Peace of Yamoussoukrola nchini Ivory Coast ,ni kanisa la Roman Catholic na limetajwa kwenye kitabu cha Guinness World Records kama kanisa kubwa kuliko yote duniani . Liko kwenye eneo la 30,000 square meters (322,917 sq ft),na linachukua idadi ya waumini 8,000 kwa wakati mmoja.Kanisa hili la Basilica lilijengwa kati...
Leo tumepata fursa ya kukusogezea wimbo huu Umenifanya Ibada toka kwa Paul Clement . Ni moja kati ya nyimbo ambazo zimekonga sana mioyo ya wasikilizaji ndani na nje ya nchi.
Comments
Post a Comment