Mchungaji Dr. Brown Mwakipesile achaguliwa kuwa Askofu mkuu mpya wa kanisa la EAGT.
Aliyekua Katibu mkuu wa kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania,EAGT Mchungaji Brown Mwakipesile na kiongozi wa kanisa EAGT Mlimwa West, amechaguliwa kua Askofu mkuu wa kanisa hilo na kurithi Mikoba ya Uaskofu baada ya aliyekua Askofu mkuu wa kanisa hilo Dr.Moses Kulola ambaye alitwaliwa na Bwana mwaka 2013.
![]() |
| Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Brown Mwakipesile |
![]() |
| Askofu Mkuu mpya wa kanisa la EAGT Dr. Brown Mwakipesile wa kwanza toka kulia,akiwa na makamu askofu mkuu aliyemaliza muda wake Askofu Mwaisabila |
| Makamu Askofu Mkuu John Mahene wa kwanza toka kushoto |
| Katibu Mkuu wa EAGT Lenard Mwinzarubi wa kwanza Kushoto |
Nafasi ya Mshauri mkuu wa kanisa hilo ikibaki kwa Mzee Mwakisyala
| Mzee na Mshauri Mkuu wa EAGT Rev, Mwakisyalawa kwanza kutoka Kushoto |


Comments
Post a Comment