SIFA JOHN AUKUMBUKA MUZIKI


Mwimbaji wa muziki wa injili Sifa John ambaye alikuwa akifanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa injili miaka kadhaa iliyopita kupitia wimbo wake wa Wateule Tutakwenda ameamua kuweka mtandaoni video za nyimbo zake mbili,
Usiku wa kuamkia leo kupitia youtube akaunti yake Sifa John ameweza kupublish video za nyimbo zake mbili ambazo ni Usililie Moyoni na Bwana Ni Mwema,
Sifa John amesema amekuwa kimya kwenye muziki kwa muda mrefu ni kutokana na majukumu aliyonayo ya usimamizi wa kituo chake cha watoto yatima kiitwacho Sifa Foundation na kujikuta huku anapotea kabisa,
Mwisho Sifa John amewataka mashabiki na wadau wake wasichoke kumvumilia muda si mrefu atarudi kwenye nafasi yake,
TAZAMA VIDEO YA SIFA JOHN - USILILIE MOYONI



TAZAMA VIDEO YA SIFA JOHN - BWANA NI MWEMA


Comments

Popular posts from this blog

YAJUE MAKANISA MAKUBWA ZAIDI DUNIANI